Shuhudia LIVE Rais Magufuli Alivyompokea Rais wa Misri na Jinsi Mizinga Ilivyopigwa
Tazama hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi alivyowasili Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo mwenyeji wake Rais Dkt, John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wamempokea uwanjani hapo .
==>Tazama hapo chini
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA MBINDA BLOG IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI, nenda play store kisha tafuta / search MBINDA BLOG
Post a Comment