BONGO MOVIE WAJIINGIZA KWENYE SIASA TENA....WAZINDUA KAMPENI HII YENYE MLENGO WA KISIASA
Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa habari kuzindua Kampeni ya Uzalendo Kwanza ambao una lengo la kuitangaza na kuilinda Tanzania katika kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Tanzania akiwemo President Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
Je kwa unavyoona ni sawa?
Toa maoni yako hapa
By Haruna Mapunda
Post a Comment