KARIBIA WAHAMIAJI HARAMU 1047 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA
Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 waokolewa na kikosi cha wanamaji katika Bahari ya Mediterania .
Taarifa hiyo imetolewa na kikosi kinachohusika na kulindi mipaka ya majini cha Libya.
Kufuatia mkataba wa (UMH) , kikosi cha kulinda mipaka kimetangaza kuwaokoa wahamiaji hao haramu katika ufukwe wa jiji la Sabrata .
Miongoni wa wajhamiaji hao wamo wanawake na watoto.
Post a Comment