SIMBA SC ASHINDA , OKWI ATUPIA MBILI


LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Mpira umemalizika uwanja wa uhuru Simba SC ikiibamiza Mwadui FC magoli 3-0, Emanuel  Okwi akitia kambani goli mbili ,lingine likikwamishwa kambani na John Raphael Boko

Emanuel Okwi amefikisha idadi ya magoli 6 katika mechi mbili alizocheza za ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Full Time : 

SIMBA SC  3   MWADUI FC  0


Mbeya City 1   0 Njombe Mji

Mfungaji: Eliud Ambokile.


No comments