Shirika na Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO) lina watangazia wakazi wa jiji la Dar es salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo mkoani Pwani kwamba kutakuwa na zoezi la uboreshaji wa mabomba ya maji.
Post a Comment