HII HAPA TAARIFA YA AWALI KUHUSU KUINGUA KWA NYUMBA YA ZITTO KABWE.




Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe imeripotiwa kuungua moto na kuteketea, nyumba iliyoungua ipo Mwandiga Kigoma.



Moto huo umeripotiwa kuwa ulianza leo kuanzia saa 10 jioni  tuaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hizi ili kuweza kufahamu chanzo cha moto.



No comments