THERESA MAY NA TRUMP WAFANYA MAZUNGUMZO

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amefaya mazungumzo ya simu na rais wa Marekani Donald Trump.

Katika mazungumzo hayo,rais Trump ametoa salamu za rambirambi kwa waathirika wa mlipuko katika kituo cha treni London.

Kwa mujibu wa habari,viongozi hao wawili pia wamezungumzia makombora yanayorushwa na Korea Kaskazini mpaka sasa na kusema kuwa ni harakati za uchochezi.



No comments