• Home
  • About Us
  • Contact Us

ROMY CODES

  • Home
    • HABARI
    • SINEMA
    • UDAKU
    • MICHEZO
    HABARI SINEMA UDAKU

    TAARIFA YA MBUNGE MSUKUMA KUKAMATWA NA POLISI

    September 17, 2017
    Mbunge wa Geita Joseph Kasheku Musukuma amekamatwa na Polisi mkoani humo, kutokana na tuhuma za kuhusika kwa tukio la kufungwa kwa njia kwen...Read More
    HABARI UDAKU

    LIST YA WACHUNGAJI MATAJIRI ZAIDI DUNIANI 2017 HII HAPA

    September 17, 2017
    Zipo list kibao za viongozi wa dini ambazo huonesha namna gani wanakuwa na ushawishi wa kuponya watu kiroho lakini fahamu pia kuwa zipo list...Read More
    HABARI MICHEZO

    SIMBA SC ASHINDA , OKWI ATUPIA MBILI

    September 17, 2017
    LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA Mpira umemalizika uwanja wa uhuru Simba SC ikiibamiza Mwadui FC magoli 3-0, Emanuel  Okwi akitia kambani g...Read More
    HABARI SINEMA UDAKU

    LIST YA WACHUNGAJI MATAJIRI ZAIDI DUNIANI 2017 HII HAPA

    September 17, 2017
    Zipo list kibao za viongozi wa dini ambazo huonesha namna gani wanakuwa na ushawishi wa kuponya watu kiroho lakini fahamu pia kuwa zipo list...Read More
    HABARI SINEMA UDAKU

    MAREKANI: MAANDAMANO BAADA YA POLISI MZUNGU KUONDOLEWA MASHTAKA YA KUMUUA MTU MWEUSI

    September 17, 2017
    Maandamano mapya yametokea katika mji wa St Louis nchini Marekani, ambapo polisi mzungu wa zamani alipatwa kutokuwa na hatia kwa kumuua mtu ...Read More
    HABARI SINEMA UDAKU

    POLISI WAFANYA DORIA SINZA KUZUIA MAOMBEZI YA BAVICHA

    September 17, 2017
    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wanachama wa Chadema wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuhojiwa kuhusu mpango wa maombezi ulio...Read More
    HABARI

    KARIBIA WAHAMIAJI HARAMU 1047 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA

    September 17, 2017
    Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 waokolewa na kikosi cha wanamaji katika Bahari ya Mediterania . Taarifa hiyo imetolewa na kikosi kinachohusik...Read More
    HABARI MICHEZO SINEMA

    CRISTIANO RONALDO AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWAO

    September 17, 2017
    Nyota wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo amerejea kwao Ureno jana Septemba 16. Katika urejeo wake huo Ronaldo ametembela klabu yake a...Read More
    HABARI

    NYALANDU AFUNGUKA ALICHOTETA NA LISSU HOSPITAL

    September 17, 2017
    Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amesema amezungumza na Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ambaye ameonyes...Read More
    HABARI MICHEZO SINEMA

    HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA MWADUI FC

    September 17, 2017
    KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA MWADUI FC HIKI HAPA 1.AISHI MANULA 2.SHOMARY ALLY 3.MOHAMED HUSSEIN 4.SALIM MBONDE 5.JUUKO MURUSHI...Read More
    HABARI SINEMA

    HISTORIA FUPI YA MWANAMAPINDUZI CHE GUEVARA, ALIVYOKAMATWA NA KUUAWA KIKATILI

    September 17, 2017
    Jina kamili : Ernesto Guevara Kazi : Daktari, mwanamapinduzi wa kijamaa (marxist) Uraia : Argentina Kuzaliwa : June 14 1928 Kufariki : Octob...Read More
    HABARI

    SPIKA NDUGAI AWASHANGAA WABUNGE ZITTO NA LEMA KUTUMIA MITANDAO KUZUNGUMZA MAMBO AMBAYO HAYANA MANTIKI

    September 17, 2017
    Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ameuchambua mkutano wa nane wa Bunge la 11, ikiwemo mivutano iliyojitokeza ka...Read More
    HABARI SINEMA

    MLIPUKO WA BOMU WAUA WATOTO WATATU JIJINI ARUSHA

    September 17, 2017
    Watoto watatu waliokuwa wakichunga ng'ombe wamefariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu walilolichezea wakidhani ni mpira. Tukio hilo li...Read More
    HABARI

    KATIBA PENDEKEZWA YAHOFIWA KUYEYUKA.....JUKATA WATILIA SHAKA MAANDALIZI, WATAKA MABADILIKO MUHIMU KABLA YA 2020

    September 17, 2017
    Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limeitaka Serikali ifanye mabadiliko ya msingi katika Katiba kabla ya kuingia kwenye maandalizi ya uchagu...Read More
    HABARI

    BONGO MOVIE WAJIINGIZA KWENYE SIASA TENA....WAZINDUA KAMPENI HII YENYE MLENGO WA KISIASA

    September 17, 2017
    Wasanii mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania wakiongozwa na mwigizaji Steve Nyerere leo September 16, 2017 wamekutana na Waandishi wa hab...Read More
    HABARI

    HIKI NDIYO KITU KINACHOSABABISHA KUONA MAISHA YAKO NI MAGUMU NA HAYANA MAANA

    September 17, 2017
    Rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena siku hii ya leo katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale mazuri...Read More
    HABARI MICHEZO

    ZARI NA DIAMOND WAKOROGANA MTANDAONI

    September 17, 2017
    WANASEMA WBC ndio sehemu ambayo burudani nzuri huwa inatoka kwa sana, lakini pia ndio sehemu ambayo inaongoza kwa drama nyingi sana kuanzia ...Read More
    HABARI

    KUZUIWA MAOMBI YA TUNDU LISSU LEO KWAZUA MJADALA

    September 17, 2017
    Zuio la Jeshi la Polisi kuhusu mkusanyiko uliotarajiwa kufanyika kwa lengo la kumuombea Mbunge wa Singida Mashariki aliyejeruhiwa kwa risasi...Read More
    HABARI

    TUKIO LA KUPIGWA RISASI LISSU LILIVYOFUNIKA MKUTANO WA BUNGE

    September 17, 2017
    Mkutano wa Nane wa Bunge la Kumi na Moja umemalizika huku tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu likifun...Read More
    HABARI

    SELEMANI JAFO AWATAKA WAKUU WA WILAYA KUITUMIA VIZURI SHERIA YA KUWEKA NDANI WATU

    September 17, 2017
    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amewatakaa Wakuu wa Wilaya kuitumia vizuri sheria ya kumuweka...Read More
    HABARI

    SPIKA JOB NDUGAI AJIBU TENA MAPIGO YA WABUNGE ANAODAI WANAMDHALILISHA

    September 17, 2017
    Spika wa Bunge, Job Ndugai amefunguka na kusema kuwa yeye hana tatizo lolote na Mbunge Zitto Kabwe, Saed Kubenea na Godless Lema ila amedai ...Read More
    HABARI

    RC GAMBO APIGA MARUFUKU VIONGOZI KUKAMATA WATUMISHI WA UMMA

    September 17, 2017
    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amepiga marufuku viongozi wa Serikali kuwakamata na kuwaweka rumande watumishi wa umma bila kufuata she...Read More
    HABARI

    KRC GENK YAPIGWA 2-1, SAMATTA ATOKEA BENCHI DAKIKA ZA MWISHONI

    September 17, 2017
    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ametokea benchi usiku wa Jumamosi timu yake, KRC Genk ikifungwa 2-1 na mahasimu, ...Read More
    HABARI MICHEZO

    BAYERN MUNICH YAIPIGA MAINZ 4-0, LEWANDOWSKI ATUPIA MBILI

    September 17, 2017
    Unaweza kusema Bayern Munich baada ya kuichapa Mainz kwa mabao 4-0 huku mshambuliaji wake, Robert Lewandowski akifunga mawili. Ilionekana ka...Read More
    HABARI MICHEZO

    ZIDANE AMPA MAKAVU GARETH BALE

    September 17, 2017
    Wakati Real Madrid inashuka dimbani kuivaa Real Sociedad katika mechi ya La Liga, Kocha Mkuu, Zinedine Zidane amemuambia Gareth Bale anahita...Read More

    HUYU NDIYE MCHEZAJI ALIYECHEZA MECHI NYINGI ZAIDI PREMIER LEAGUE

    September 17, 2017
     Gareth Barry amefikia idadi ya mechi za Ligi Kuu England alizocheza gwiji wa Manchester United, Ryan Giggs. Barry anayekipiga Wes Brom amec...Read More

    NIWAOMBE WABUNGE WA CCM VAENI UZALENDO KWENYE HILI LA NKAMIA

    September 17, 2017
    Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio ionekane haitoshi?? Je hii ya kutaka miaka saba ni la J...Read More

    UKITAKA KUOA SINZA, MAGOMENI NA KINONDONI SIO SEHEMU NZURI ZA KUCHAGUA MCHUMBA

    September 16, 2017
    Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana ku...Read More
    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    Follow us

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    Facebook

    Popular Posts

    • KUUMWA TUMBO WAKATI WA HEDHI
      KARIBU sana katika makala yetu inayohusu afya.Kutokana na simu nyingi ninazozipata nikiulizwa maswali juu ya maumivu yanayowapata akina mama...
    • Vijue Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume
      Mbegu za Flax (Flax seeds):   Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume ...
    • HAYA NDIYO MAAJABU 7 YA DUNIA
      1. Piramidi za giza ni kati ya majengo yanayojukana zaidi duniani,Yapo kando kando ya bonde la mto Nile karibu na mji wa Giza,takribani kilo...
    • YAFAHAMU MADHARA YA KUNYWA POMBE KIPINDI CHA UJAUZITO
      Kipindi cha ujauzito kwa mama ni kipindi muhimu sana ambacho kwa wakati huu mama hatakiwi atumie kitu chochote cha kujitibu bila ushauri wa ...

    Categories

    FOX NEWS HABARI MICHEZO SINEMA UDAKU

    Blog Archive

    • September 2017 (104)
    • August 2017 (122)
    • September 2016 (1)
    Created By SoraTemplates & MyBloggerThemes